Taja maeneo ya hovyo Dar ambayo huwezi kukaa

Washamba wa huu mji ama tuwaite wakuja munapata shida sana na huu mji....... Dar ina classes... Hayo maeneo uliyoyataja ndio mji ulipoanzia... Yaani mji ulianza ilala na Temeke, hayo maeneo unayoyaona mazuri ni miji mipya hio..... Halafu kingine umetaja hadi maeneo ya mkoa wa pwani ukiamini ni Dar es salam.
 
Pale Magogoni hata kwa dawa siwezi kukubali kuishi.
 
Wazungu waliweka mfumo ya viwanja pamoja na bomba la majitaka ndio thamani ya kiwanja inapatikana.
mtoa mada atakuwa ni mpangaji wa kudumu.
 
Maisha haya, unaweza kusema hapa siwezi kukaa ila ukajikuta siku moja mwenyewe unakaa bila kushikiwa bunduki
 
Masaki
Mbezi
Upanga
Mikocheni
Goba
Mbweni
Bahari beach
Ununio
Oyster Bay
Kunduchi
 
Binafsi yangu siwez kuishi Chanika ni mbali sana kama naenda mkoani Morogoro
Siwez ishi kiburugwa wahuni kama wote..
Siwezi kuishi tandale napo wahuni wengi..
Bila kusahau Buza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…