Taja maeneo ya hovyo Dar ambayo huwezi kukaa

Mimi haya kwangu ni maeneo ya hovyo ambayo siwezi kukaa

Mbagala
Kiwalani
Buza
Temeke
Vikindu
Vingunguti
Mwananyamala
Tandale
Magomeni
Manzese
Tabata ToT
Chang'ombe
Buguruni

Haya maeneo kwangu ndo maeneo ya hovyo kabisa nakerwa na tabia za wenyeji na pia nakerwa na ujenzi mbovu wa wenyewe pia nakerwa na narudia ni tabia za wenyeji za maeneo haya wana tabia ambazo zina kila dalili za umasikini umasikini tu tabia ya kuridhika na mambo ya hovyo hovyo tu.

Kwa upande wako unadhani ni maeneo gani ya hovyo huwezi kukaa?
Washamba wa huu mji ama tuwaite wakuja munapata shida sana na huu mji....... Dar ina classes... Hayo maeneo uliyoyataja ndio mji ulipoanzia... Yaani mji ulianza ilala na Temeke, hayo maeneo unayoyaona mazuri ni miji mipya hio..... Halafu kingine umetaja hadi maeneo ya mkoa wa pwani ukiamini ni Dar es salam.
 
Mimi haya kwangu ni maeneo ya hovyo ambayo siwezi kukaa

Mbagala
Kiwalani
Buza
Temeke
Vikindu
Vingunguti
Mwananyamala
Tandale
Magomeni
Manzese
Tabata ToT
Chang'ombe
Buguruni

Haya maeneo kwangu ndo maeneo ya hovyo kabisa nakerwa na tabia za wenyeji na pia nakerwa na ujenzi mbovu wa wenyewe pia nakerwa na narudia ni tabia za wenyeji za maeneo haya wana tabia ambazo zina kila dalili za umasikini umasikini tu tabia ya kuridhika na mambo ya hovyo hovyo tu.

Kwa upande wako unadhani ni maeneo gani ya hovyo huwezi kukaa?
Pale Magogoni hata kwa dawa siwezi kukubali kuishi.
 
Wazungu waliweka mfumo ya viwanja pamoja na bomba la majitaka ndio thamani ya kiwanja inapatikana.
mtoa mada atakuwa ni mpangaji wa kudumu.
 
Maisha haya, unaweza kusema hapa siwezi kukaa ila ukajikuta siku moja mwenyewe unakaa bila kushikiwa bunduki
 
Masaki
Mbezi
Upanga
Mikocheni
Goba
Mbweni
Bahari beach
Ununio
Oyster Bay
Kunduchi
 
Mimi haya kwangu ni maeneo ya hovyo ambayo siwezi kukaa

Mbagala
Kiwalani
Buza
Temeke
Vikindu
Vingunguti
Mwananyamala
Tandale
Magomeni
Manzese
Tabata ToT
Chang'ombe
Buguruni

Haya maeneo kwangu ndo maeneo ya hovyo kabisa nakerwa na tabia za wenyeji na pia nakerwa na ujenzi mbovu wa wenyewe pia nakerwa na narudia ni tabia za wenyeji za maeneo haya wana tabia ambazo zina kila dalili za umasikini umasikini tu tabia ya kuridhika na mambo ya hovyo hovyo tu.

Kwa upande wako unadhani ni maeneo gani ya hovyo huwezi kukaa?
Binafsi yangu siwez kuishi Chanika ni mbali sana kama naenda mkoani Morogoro
Siwez ishi kiburugwa wahuni kama wote..
Siwezi kuishi tandale napo wahuni wengi..
Bila kusahau Buza
 
Back
Top Bottom