Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
ShoriiiHapo vip!!
Wanaume huwa tunawaita Kwa majina mengi Kama vile demu, chick,jiko n. K,embu taja majina mengine unayowaitaga Wanawake...
Hilo mshumaa jipya jipya badoMshumaa, mamiloo, mamrax, manzi, momiz, msupa, chimama, supuu, mbus n.k
Hahaha hilo lipo kitambo sana mbona sema halitumiki sana ni fasi ya chuga machalii ndio utakuta wanatumia sana.Hilo mshumaa jipya jipya bado
NyabeHahaha hilo lipo kitambo sana mbona sema halitumiki sana ni fasi ya chuga machalii ndio utakuta wanatumia sana.
Ndio maanaHahaha hilo lipo kitambo sana mbona sema halitumiki sana ni fasi ya chuga machalii ndio utakuta wanatumia sana.
Maana ipo ila sikuambii maana naona aibu mimi [emoji3]Ndio maana
Sijui walifikiria nini
Duh, wazee wa mapato [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Eeeh wanahakiki.Duh, wazee wa mapato [emoji23][emoji23][emoji23]
Niambie basi huku umefumba machoMaana ipo ila sikuambii maana naona aibu mimi [emoji3]
[emoji85][emoji85][emoji85]Niambie basi huku umefumba macho