Taja majina mengine anayoitwa Mwanamke tofauti na demu, chick na jiko..

Taja majina mengine anayoitwa Mwanamke tofauti na demu, chick na jiko..

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!!

Wanaume huwa tunawaita wanawake Kwa majina mengi Kama vile demu, chick,jiko n. K,embu taja majina mengine unayowaitaga Wanawake...
 
Back
Top Bottom