Taja majina ya kuchekesha au kufurahisha humu JF

Taja majina ya kuchekesha au kufurahisha humu JF

Kwa ufupi kuna baadhi ya majina nikisoma huwa nacheka sana nikiwa natafakari huyo mtu mwenye hilo jina alikua anawaza nini wakati wa kujisajili humu JF. Majina ya kufurahisha ni kama yafuatayo, kwa uchache:

1. Mchecheto;
2. Miss Natafuta;
3. Kipara kipya;
4. Mkwepa kodi
5......................

Basi burdani.
5. Chagga Barbie (Msukule)
6. Mange Kimambi
 
Ewaaa nitafurahi sana, maana kuna mmasai wangu humu hajui kiswahili sasa huwa nashindwa kuchat nae vizuri
 
Asanteni sana kwa kunijuza maana ya hilo jina[emoji120][emoji120] kwani mhusika alitaka kunipiga mzinga ili aniambie maana yake.

(Hivi hiyo lugha ni kishumundu eeeh[emoji848])
I miss u babe[emoji22]
Niko huku porini napambna nakutafutia maisha
 
Back
Top Bottom