Right Marker
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 194
- 625
Wale ambao tumekulia maisha ya kijijini, au maisha ya hali ya chini, kuna aina za mboga za majani ambazo zilitulea na kutupa afya njema.
Huenda kwa sasa hukutani nazo kwasababu ya kijiografia, hali ya maisha uliyonayo sasa, kuchangamana na watu wa jamii nyingine, au kwasababu nyingine yoyote.
Taja majina ya mboga za majani ulizotumia, au mpaka sasa unazitumia kwasababu zinapatikana karibu yako. Mimi naanza na....
1. Mnafu,
2. Majani ya kunde.
3. Bamia,
4. Tembele.
5. Ombo,
6. Majani ya maboga,
7. Mchunga,
8. Kisamvu.
RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM