Taja mambo 3 Yanga wayafanye katika kusherekea Ubingwa wao ambao watakabidhiwa mei 25,2024

Walete hata huku wanapowaita mikoani .
Yanga ina mashabiki pote
 
Niliona ingekuwa Vizuri tungesubiri tukamilishe FA Cup ili tusherehekee yote kwa pamoja! Ila sio mbaya, Kingine mechi ya kukabidhiwa kombe ingefanyika mida ya jioni kuelekea usiku ili zikipigwa fataki pawe full shangwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…