Moderator: naomba Uzi huu sio wa uache uwe huru na ujitegemee wenyewe lengo ni kujifunza
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Kisiasa, kiuchumi, kijamii
Karibuni
Muwe na siku njema
1. Invention of the bible. Biblia as we see it today ni kazi ya kanisa katoliki. Walichagua vitabu vipi viwepo na vipi visiwepo. Vile walivyoficha, walitumia mafundisho yake kwa siri kama mapokeo. Ndio maana misingi ya mafundisho ya kanisa katoliki ni biblia, roho mtakatifu na mapokeo. Hatuoni injili ya petro, barnabas au ya james kwenye biblia. Ila zipo vatican.na mafundisho yao mema hutumika na kanisa mpaka sasa.
2. Kumpa hadhi Umungu Yesu, na fumbo ya utatu mtakatifu. Kwenye maandiko, hapakuwa na mahala ambapo Yesu alijiita Mungu, bali mwana wa Mungu kama tulivyosote tulioumbwa kwa mfano wake. Baada ya mafundisho ya kikristu kukataliwa kwa wayahudi, mitume waligeukia kwa mataifa. Kipindi icho Roman empire ilikuwa inaelekea kwenye kuanguka. Ndipo kaisari Constantine alipoamua kuadopt Christianity kama njia mpya ya kuendeleza utawala wake.
Kufanya hii iwe rahisi, waliingiza mila na desturi za kipagani katika ukristo ikiwepo Yesu kupewa hadhi ya kimungu kuchukua nafasi ya mungu wa kipagani mungu jua. Ndio manaa anakufa siku tatu ( tar 23 dec ni kipindi cha winter kali norther hemisphere, na usiku unakuwa mrefu zaidi kuliko mchana, hii hali ni kwa siku tatu, tar 23, 24 na 25 jua linaanza kurudi northern hemisphere) kwa warumi..hii ilikuwa ishara ya kufa kwa mungu jua, na kuzaliwa upya kwa mungu jua baada ya siku tatu. Ndipo kanisa likaweka tar hii kusherekea siku ya x-mass.
Hii ni the same kwa tarehe ya pasaka, Tar 22 March jua huwa equator, na maeneo ya norther hemisphere hupata mwanga na joto la kutosha. Kipindi hiki miti iliyokuwa umepukutisha majani kipindi cha winter huwanza kushade tena, wanyama waliokuwa wamejificha na kuhibanate wanarejea tena maporini. Wenzetu wakawa wanasherekea sikukuu ya mavuno kipindi hiki. Hii ndio sababu ya pasaka kuwa kati ya march na april.
3. Creation of islam. Baada ya kuanguka kwa roman empire na kupoteza control katika maeneo ambayo kanisa iliyaona kama ni muhimu kwa historia (Maeneo ya uyahudi Jerusalem, hekalu la solomon etc) baada ya kuvamiwa a falme pagani za persia na wengineyo. Kanisa ilibidi ibuni namna ya kuwatumia locals wa middle east kupambana wavamivi hawa pia kuwapa sababu ya kupigania maeneo haya.
Ndipo Vatican wakamtumia Fatima, mke wa Muhamad kufanikisha hili. Historia ya Fatima inaonesha alikuwa na umri mkubwa kuliko Muhamad, tajiri na alikuwa exposed kwani alikuwa mfanyabiashara mkubwa. Vatican ilimtumia kumtafuta kijana wa kiarabu, jasiri. Wakampa mafundisho ya msingi ya kanisa na kumjaza imani. Ikampatia Fatima kitabu kwaajili ya kukitumia katika mafundisho. Bila Muhamad kujua kitokapo, ndipo dhana ya kitabu kushuka kutoka Mungu ndipo ikazaliwa. The rest is history.
Kanisa kuenzi mchango wa Fatuma katika hili, kanisa likaupa mji wenye historia ya kikristo huko Hispania jina la Fatima. Wakatoliki tunafahamu historia ya watoto wa fatima, lucia, fransisca na Yasinta. Ni mji wenye Makanisa ya zamani zaidi huko ulaya na ni mji wafia dini.