Taja mambo unayotamani kuyafanya lakini unashindwa

Taja mambo unayotamani kuyafanya lakini unashindwa

Natamani niwe na dawa ambayo nikipaka nisionekane niwe naingia kwenye nyumba za watu,humo nakula,naangalia tv,nasikiliza maongezi yao,nawabandua wanawake wote humo kisha nasepa kwenda nyumba nyingine
Huyo ni EVELSPIRIT yani inatakiwa upelekwe kwa gwajima au mzee wa upako ukaombewe huyo evelspirit akutoke.
 
Natàmani dunia kuwe na ubabe tu kusiwe na sheria .

Yani mtu akikuzingua unamzamisha ardhini muda huo huo waishi watu wababe tu
 
Nafikiri kuwa rais wa Tanzania na kuibadili Tanzania kabisa kuwa nchi tajiri Sana na kuwabadilisha kabisa watanzania kutoka kwenye mawazo mgando
 
Nafikiri kuwa rais wa Tanzania na kuibadili Tanzania kabisa kuwa nchi tajiri Sana na kuwabadilisha kabisa watanzania kutoka kwenye mawazo mgando
Unaeza ukatimiza hii NDOTO Anza Sasa kuandaa mazingira
 
Back
Top Bottom