Hapa kazi tu -hili ndilo neno lililokuja kwa kasi na kupotea kama moto wa nyasi.tuanze na ki definition hiki cha form two.... misimu ni aina ya maneno yanayo ibuka au kuzuka na kutoweka kwa kipindi fulani, kibongo bongo tuna mineno mingi sana amabayo ina zukaa na kupotea kwa kipindi maalum hususani kwa mitaani humu kwa wasela
kafulia - hii ilivuma sana kwenye ze komedi na raia wakaipokea
utajiju - kwa dada zetu ilijumika sana miaka hiyo
kuchakachua - hii kuna kipindi wese lilikuwa adimu sana watu wasi mix na mimaji kwanini!! ndio ikawa kuchakachua
BASHITE - hii ya kileo bado aijachuja sijui itadumu kwa muda gani!
bichwa langu halina kumbukumbu vizuri! wakuu ongezeeni na mnayoyajua nyie
wakuuu!
Hii wabeba box na wala vumbi kuna mkuu fulani hivi huwa naona bado anaitumia tumia mara chacheYa hapa JF kuna
Ridiculous
Pathetic
Interesting[hili bado lipo]
Nitarudi
Napita tu
Wonders shall never end
Wabeba box
Wala vumbi.........n.k
hahahah kweli buana!
interesting...!
Hahahaaa........alishajishtukia, nadhani ameacha sasa.Hii wabeba box na wala vumbi kuna mkuu fulani hivi huwa naona bado anaitumia tumia mara chache
HahahhHahahaaa........alishajishtukia, nadhani ameacha sasa.
Nambie mremboHahahh
Akilimiss huwa anatumia
Poa mkuuNambie mrembo
Dah nakuelewa sanaPoa mkuu