Taja mboga za asili zisizopungua 3 zinazopatikana kwenu

Taja mboga za asili zisizopungua 3 zinazopatikana kwenu

Pitiku
Lidelele
Ngowani
Mfusulela
Chikandi
Kinjunga
Uyoga
 
Kuna mboga inaitwa
ROMU(NKARANGO),
KISAMVU,
MIGAGANI.

Sasa sijui nimepata Magu street
 
Bwegere
Tako la Hasani
Mnpwimbwiji

Na hii hapa chini ni milenda mbali mbali;
Mnangu
Kilumbu
Mkonta
Mkonjela
Bwando
Mbata
Manta


Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom