Taja mchezaji unayemkubali nje ya timu kubwa za EPL

Msimu huu kuna wachezaji wamekiwasha hasa, viwango vyao vimetakata mno japo hawachezi timu kubwa kama Liverpool, Man City, Man Utd, Arsenal, Spurs na Chelsea.

Leo tuwataje wachezaji tunaowakubali ambao hawachezi hivyo vilabu hapo juu.

Mimi naanza na Ruben Neves wa Wolves jamaa ni bonge la mido, ana uwiano mzuri katika ukabaji na kushambulia.

Karibu tuendelee.

Jiminez wa Wolves hatari kubwa
 
Jamie Vardy
Huyu jamaa akiwa pale mbele ya Bruno na Pogba, aisee itakua moto sana. Acha hawa Martial na Raahford mambo ya kitoto sana
 
Msimu huu kuna wachezaji wamekiwasha hasa, viwango vyao vimetakata mno japo hawachezi timu kubwa kama Liverpool, Man City, Man Utd, Arsenal, Spurs na Chelsea.

Leo tuwataje wachezaji tunaowakubali ambao hawachezi hivyo vilabu hapo juu.

Mimi naanza na Ruben Neves wa Wolves jamaa ni bonge la mido, ana uwiano mzuri katika ukabaji na kushambulia.

Karibu tuendelee.
Yule Winga wa Newcastle mweusi dah! Yule jamaa Ni shida jina lake limenitoka.
 
Msimu huu kuna wachezaji wamekiwasha hasa, viwango vyao vimetakata mno japo hawachezi timu kubwa kama Liverpool, Man City, Man Utd, Arsenal, Spurs na Chelsea.

Leo tuwataje wachezaji tunaowakubali ambao hawachezi hivyo vilabu hapo juu.

Mimi naanza na Ruben Neves wa Wolves jamaa ni bonge la mido, ana uwiano mzuri katika ukabaji na kushambulia.

Karibu tuendelee.
WILLIAM INACK
 
Back
Top Bottom