Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #21
Nick Pope.
Goalkeeper wa Burnley huyu amekuwa Man of the Match zaidi ya match 4 msimu huu.
Sio hayupo mbali, yeye ndio anaongoza.Yuko vizuri pia, hata kwenye makipa wanaoongoza clean sheet hayupo mbali sana
Msimu huu kuna wachezaji wamekiwasha hasa, viwango vyao vimetakata mno japo hawachezi timu kubwa kama Liverpool, Man City, Man Utd, Arsenal, Spurs na Chelsea.
Leo tuwataje wachezaji tunaowakubali ambao hawachezi hivyo vilabu hapo juu.
Mimi naanza na Ruben Neves wa Wolves jamaa ni bonge la mido, ana uwiano mzuri katika ukabaji na kushambulia.
Karibu tuendelee.
Aje Manchester UnitedMpaka leo najiuliza ni kwa namna gani Chelsea walimuacha kizembe
Sio hayupo mbali, yeye ndio anaongoza.
Jiminez wa Wolves hatari kubwa
Kuna jamaa alitoka genk yupo Brighton anaitwa trossard . Namkubali sana
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Na Arsenal tunaiweka kwenye timu kubwa EPL?
Yule Winga wa Newcastle mweusi dah! Yule jamaa Ni shida jina lake limenitoka.Msimu huu kuna wachezaji wamekiwasha hasa, viwango vyao vimetakata mno japo hawachezi timu kubwa kama Liverpool, Man City, Man Utd, Arsenal, Spurs na Chelsea.
Leo tuwataje wachezaji tunaowakubali ambao hawachezi hivyo vilabu hapo juu.
Mimi naanza na Ruben Neves wa Wolves jamaa ni bonge la mido, ana uwiano mzuri katika ukabaji na kushambulia.
Karibu tuendelee.
Yule Winga wa Newcastle mweusi dah! Yule jamaa Ni shida jina lake limenitoka.
Richarlison wa Everton
Chilwel Leicester city
WILLIAM INACKMsimu huu kuna wachezaji wamekiwasha hasa, viwango vyao vimetakata mno japo hawachezi timu kubwa kama Liverpool, Man City, Man Utd, Arsenal, Spurs na Chelsea.