Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Maxence Melo na asha Abinali ni mtu na shemeji yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanifananisha, Kwanza jukwaa lenyewe limezubaa, watazamaji ni wengi kuliko wachangiajiMbona kuna mtu aliniambia ukiingia kule hutoki
Hujaelewa swali languKanifananisha, Kwanza jukwaa lenyewe limezubaa, watazamaji ni wengi kuliko wachangiaji
Ohooo now nimeelewa. Sio kweli watu wamezubaa, kifupi hakuna wachangiaji. Post zina comments chache mno. Nahisi wamejaa chaputa zaidi wapate mapichapicha na mavideo basHujaelewa swali langu
Ha ha ha ha halafu inawezekana ikawa kwel ujue...
Ok, nasikia hawakutoi hata ukiomba kutokaOhooo now nimeelewa. Sio kweli watu wamezubaa, kifupi hakuna wachangiaji. Post zina comments chache mno. Nahisi wamejaa chaputa zaidi wapate mapichapicha na mavideo bas
[emoji3][emoji3][emoji3] yaani huwa nahisi mnalingana kabisa, kiumri na maumbileHa ha ha ha halafu inawezekana ikawa kwel ujue...
Sio kweli. Niliomba kutoka na walinitoa mara mojaOk, nasikia hawakutoi hata ukiomba kutoka
[emoji3][emoji3][emoji3] kwa hiyo kumbe yule mdau alinidanganya ngoja nikamsuteSio kweli. Niliomba kutoka na walinitoa mara moja
Mods ni wasikivu wanakupa unachotaka. Kamsute 😀[emoji3][emoji3][emoji3] kwa hiyo kumbe yule mdau alinidanganya ngoja nikamsute
Ha ha ha ha hapo kwenye maumbile hapo itabd nije Pm niulize vzur[emoji3][emoji3][emoji3] yaani huwa nahisi mnalingana kabisa, kiumri na maumbile
Nitamwendea na mdundikoMods ni wasikivu wanakupa unachotaka. Kamsute [emoji3]
Hiyo 'maumbile' umeitafsiri vipiHa ha ha ha hapo kwenye maumbile hapo itabd nije Pm niulize vzur
Ha hah ha ha unataka nitoe tafsir hapa hapaHiyo 'maumbile' umeitafsiri vipi
Ha haaa nikusindikize mwaya, naleta sare ya MaderaNitamwendea na mdundiko
[emoji3][emoji3] toa hapahapa kama unajiaminiHa hah ha ha unataka nitoe tafsir hapa hapa
Niletee vipimo niwashonee kabisaHa haaa nikusindikize mwaya, naleta sare ya Madera
We Shona free sizeNiletee vipimo niwashonee kabisa
Sio kwamba sijiamn naogopa usje ukaanza kuweweseka usiku[emoji3][emoji3] toa hapahapa kama unajiamini