Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Hahahaaa 🤣🤣🤣 Paranoid much?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa 🤣🤣🤣 Paranoid much?
I can't say so but the very first week i saw you commenting i thought it was carba ...Hahahaaa 🤣🤣🤣 Paranoid much?
Hahahahahaha mambo mengi kaka ake ila nimerudi,,, si unajua nyumbani ni nyumbani?
Mmm nimejua kilichokukonfyuzi na hicho tu ndio tunaelekea tunalingana..ila character na interests ni tofauti.. I bet na muonekano pia ni tofautiiiiI can't say so but the very first week i saw you commenting i thought it was carba ...
Huenda uko sawa, unadhani ni nini kimenichanganya?Mmm nimejua kilichokukonfyuzi na hicho tu ndio tunaelekea tunalingana..ila character na interests ni tofauti.. I bet na muonekano pia ni tofautiiii
Njoo kwenye uzi wetu kule ntakwambia🙂Huenda uko sawa, unadhani ni nini kimenichanganya?
Dada umzima? Maana umeadimika mbaya.
HahaNaomba mmoja wenu atume sms kwa baba mwenye nyumba kumtaarifu nimekufa.
Kodi yake tarehe ndiyo hizi
Shadeeya nipo mdogo wangu.Dada umzima? Maana umeadimika mbaya.
Pole Dada wa mie. Nimefurahi kukuona na sisi tunakumiss pia.@Shadeeya nipo mdogo wangu.
Majukumu tu yametubana dear.
Nawamiss sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha