Taja members ambao hujawaona tena hapa JamiiForums tangu Simba SC ifungwe na Yanga SC ili tuwatafute popote walipo wasije wakawa labda walishajinyonga

Taja members ambao hujawaona tena hapa JamiiForums tangu Simba SC ifungwe na Yanga SC ili tuwatafute popote walipo wasije wakawa labda walishajinyonga

Huyu ndugu yangu Kuna Uzi alisema baada ya Ile mechi atakuwa sehemu ambayo Haina network. Hivyo naamini hajakimbia bali ni tatizo la sehemu aliyopo
ina maana hiyo network ilikuwa inasubiria mpaka kwanza simba sc ifungwe na yanga sc ndipo ikatike au ilete shida?
 
halafu hili neno la kuukweka au naukweka naona huwa anapenda sana kulitumia hivi huwa lina maana gani ndugu? jamaa ana maneno ambayo akiyaleta hapa yanapokelewa na wana jamvi kwa uharaka na kuanza kutumika. naanza kuamini kuwa yawezekana jamaa akawa charismatic fella kweli
😂😂Ila wewe jamaa unakuaga na ufala
 
Back
Top Bottom