Taja members ambao hujawaona tena hapa JamiiForums tangu Simba SC ifungwe na Yanga SC ili tuwatafute popote walipo wasije wakawa labda walishajinyonga

Huyu ndugu yangu Kuna Uzi alisema baada ya Ile mechi atakuwa sehemu ambayo Haina network. Hivyo naamini hajakimbia bali ni tatizo la sehemu aliyopo
ina maana hiyo network ilikuwa inasubiria mpaka kwanza simba sc ifungwe na yanga sc ndipo ikatike au ilete shida?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Ila wewe jamaa unakuaga na ufala
 
Cognizant, Gentamycine,Minocycline!!

Mtu mmoja tu

Uzuri hizi accounts mbili hata ukimbananisha hawezi kukutukana kama ile ya Gentamycine

Inategemea account zipi zimekula BAN au kutoa ahadi kama za mwijaku kwa Ali kamwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…