Taja members watano walionogesha zaidi jukwaa la michezo kwa mwaka 2019

Taja members watano walionogesha zaidi jukwaa la michezo kwa mwaka 2019

Mkuu kwahabari za mpira wa miguu pale ulaya kuna hawa
Fortaleza
Mkwawa
Damusin
Mc cane
Aaron arsenal
PTER
King ngwaba
Don clericuzio
Ollachuga
Penilson
Khantwe zile animation zake zilinogesha soka japo sahizi simuoni sana

Gang chomba wa AC millan jamaa anaielewa sana millan

Kibongobongo gentamycine anajitahidi sana ila wapo wengi sana wanashukaga data sio za nchi hii alafu wanatulia tuli kuangalia uelekeo
Naunga mkono hoja
 
Kuna Darmian pia uzi wa Man u kule
Huyo naye n kwikwi mkuu kuna wakat mtu huna haja ya kusikiliza radio ili kupata habar za kiufund kuhusu timu yako Mara nyingi nikitaka technical analysis kwa Liverpool huwa namcheki MosDef pia kwa man u namcheki Darmian na kwa arsenal Huyu wakuitwa Aaron Arsenal

Hawa Nimewavulia kofia kongole nyiingi kwao
 
nilimsahau MosDef mkuu jamaa nae anajitahidi kusukuma gurudumu la majogoo hata wanapoenda vibaya
 
Haya nani kanogesha zaidi mwaka huu 2020
 
Back
Top Bottom