Naunga mkono hojaMkuu kwahabari za mpira wa miguu pale ulaya kuna hawa
Fortaleza
Mkwawa
Damusin
Mc cane
Aaron arsenal
PTER
King ngwaba
Don clericuzio
Ollachuga
Penilson
Khantwe zile animation zake zilinogesha soka japo sahizi simuoni sana
Gang chomba wa AC millan jamaa anaielewa sana millan
Kibongobongo gentamycine anajitahidi sana ila wapo wengi sana wanashukaga data sio za nchi hii alafu wanatulia tuli kuangalia uelekeo
Shukrani sanacream haijifichi mkuu tunakufatilia kwa ukaribu sana
Uko vizuri mkuuAaah sawa mkuu! Nakubali sana michango yako humu jukwaani
🙏🙏
Huyo naye n kwikwi mkuu kuna wakat mtu huna haja ya kusikiliza radio ili kupata habar za kiufund kuhusu timu yako Mara nyingi nikitaka technical analysis kwa Liverpool huwa namcheki MosDef pia kwa man u namcheki Darmian na kwa arsenal Huyu wakuitwa Aaron ArsenalKuna Darmian pia uzi wa Man u kule
nilimsahau MosDef mkuu jamaa nae anajitahidi kusukuma gurudumu la majogoo hata wanapoenda vibayaHuyo naye n kwikwi mkuu kuna wakat mtu huna haja ya kusikiliza radio ili kupata habar za kiufund kuhusu timu yako Mara nyingi nikitaka technical analysis kwa Liverpool huwa namcheki MosDef pia kwa man u namcheki Darmian na kwa arsenal Huyu wakuitwa Aaron Arsenal
Hawa Nimewavulia kofia kongole nyiingi kwao
Yanga lia lia huyo. Sijui amepotelea wapi?Yuko wapi bro. Makoye Matale?
Mani yuuuuInaonyeaha huko pamenoga nami niwe naingia huko...
Timu gani nzuri ya kushabikia??
Na mwenzie SibonikeYanga lia lia huyo. Sijui amepotelea wapi?