ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hahahahah ile familia ukijiunga nayo hutojutiaa ni kila mtu upendo kumwaga likes ndo zetuUle Uzi wenu nimeshindwaga kuuelewa huwa naupita tu..kwa kuwa Nina njaa ya likes naombeni mnisajili Ni kwa hisani ya upendo tu
Sent using Jamii Forums mobile app