Taja members wawili wanaokupa likes na unaowapa likes kwa wingi

Taja members wawili wanaokupa likes na unaowapa likes kwa wingi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Humu ndani hawakosekani watu wanaokufagilia kila mchango unaotoa lazima wapite nao kwa kuweka like.na wewe zipo ID ambazo chochote wakichangia kwenye thread husika lazima tu uwape likes.ebu wataje
Mimi kwangu wanaonipa likes Sana Ni kichwa kichafu Na mkwepu jr.shukranu Sana mnanipa matumaini
Na Mimi ninaowagea za kutosha Ni the boss Na credit analyis.mbarikiwe
 
Cc ndege JOHN
images%20(3).jpeg
 
Back
Top Bottom