Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Jamii forums jukwaa la sport current limetawaliwa na watu unprofessional kwenye soka tofauti na zamani ambapo kulikuwa na critical thinking
Tujikumbushe members wenye tabiri za soka zenye gundu zaidi hapa jf [emoji23][emoji23] ( zilizobuma)
List based on their ranking
1. Okwi boban ( mhasibu)
Huyu jamaa Kila akileta thread ya kimichezo lazima baadaye inabuma na kuwa negative kabisa ( content zake zinamsaliti )
Mfano wa thread zake [emoji23][emoji23]
Takwimu za kibu na mayele zinaitia uchungu[emoji23][emoji23]
....kihasibu hasara ya Aziz ki [emoji23][emoji23]
At the end jamaa ( mhasibu anakimbia thread zake
Gentamycine
Huyu jamaa ni mjanja anayejua kwenda na upepo pale mambo yake atakayosema yakienda negative....kesho...atakuja na content za kuisifia timu pinzani
Prof mshana jr
Huyu legend professional yake kwenye soka imegonga mwamba [emoji23][emoji23].....alikuja na thread ya "jezi yanga ni nzito". Hivyo kutopata mafanikio yeyote ....... surprising mambo yapo tofauti Yanga wanakimbiza
NB ni member Gani anaongoza Kwa kukimbia thread ......pia zinazobuma ... zaidi hapa jini JF