Taja members wenye tabiri za soka zenye gundu

Taja members wenye tabiri za soka zenye gundu

M
Kuna uzi mmoja jama anaanza kwa mikwara mingi.. "Eti hatimae maji yameanza kujitenga na mafuta, Kibu mmoja sawa na mayele wanne"🤣🤣🤣
Dah mimi ni simba kindakindaki ila dah nimecheka😂
 
Back
Top Bottom