Taja midfielder aliye fomu kwa sasa kwenye EPL

Taja midfielder aliye fomu kwa sasa kwenye EPL

Tunaelekea krisimasi, EPL ndo kwanza imechanganya, wakati ligi nyingine zikikaribia mapumziko ya sikukuu. Kwa upande wa EPL ndo kwanza mambo yamechangamka; ligi hii haisimami inapigwa mechi mfululizo kipindi cha Krisimasi mpaka Mwaka Mpya.

Wakati hayo yakiendelea ni midfielder/kiungo gani ambaye yuko fomu msimu huu amekuvutia mno? Mimi kwasasa namkubali sana Mateo Kovacic.
Bruno
 
Back
Top Bottom