Taja miongoni mwa kauli za Godbless Lema alizowahi kuzisema na sasa zimetokea au zinatokea

Smile Digital Stationery

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2024
Posts
202
Reaction score
317
Huyu jamaa anakuwaga kama na kautabiri flan, mimi nayoikumbuka ni ile alowahi kusema bungeni kuwaambia wabunhe wa chama tawala kuwa "SIMNAFURAHIA WAPINZANI TUNAVYOFANYIWA NA SERIKALI, WAKIMALIZA KWA UPINZANI WATAHAMIA KWENU"

Nikirejea hayo maneno yake naona kama ndo kinachotokea sasa kwa Baadhi wa Wanachama wa Chama tawala.

Wewe unakumbuka ipi?
 
NABII LEMA...!
 
Attachments

  • YouCut_20250715_145229962.mp4
    25.8 MB
Back
Top Bottom