Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
[emoji1241] Simba Sport Club
[emoji633] Barca
[emoji1022] Man City
[emoji632] PSG
[emoji634] Juventus
Hutaki stress
Team zako zote hazina matatizo mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1241] Simba Sport Club
[emoji633] Barca
[emoji1022] Man City
[emoji632] PSG
[emoji634] Juventus
Kabisa yaani full burudaniHutaki stress
Team zako zote hazina matatizo mengi
umezidisha mkuuSports
Jukwaa la biashara
Habari na hoja mchanganyiko
Jamii intelligence
MMU
jukwaa la elimu-jf chief, jf doctor, education..
Jukwaa la historia.
Thank me later<img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji1666.png" /><img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji1666.png" />
1)Celebrities.natumai hamjambo wajumbe.
wakuu kila mmoja wetu ataje mitaa 5 ambayo humpotezea mda mwingi kuitembelea awapo hapa mjini jamii forums.
ifuatayo ndo list ya mitaa 5 nayoitembelea zaidi kwa upande wangu:
1.MMU
hapa naingia ajili ya kushare & kujifunza mambo mbali mbali yahusuyo ndoa/mahusiano.
2.jamii intelligence
hapa naingia ajili kuchukua nondo nzito za kuulisha ubongo ili usikae kizezeta.
3.jukwaa la siasa
hapa naingiaga ajili yakujua mbivu na mbichi za wanasiasa wetu uchwara.
4.kenyan news &politics
hapa huingia ajili ya kuwatia mchecheto majirani zetu kenya wapenda sifa wanaojisifia elimu & uchumi wa makaratasi akati bado wanategemea chakula cha msaada.
5.sports
hapa naingia kuangalia habari za michezo coz ndo ulevi wangu mkubwa.
nb: mitaa mingine natembea bt hii ndo mitaa nayotembelea zaidi niwapo hapa mjini jf, karibu nawe utupie list yako.