Taja mkoa ambao hujawahi fika na huna mpango wa kufika na unajutia kufika mkoa gan

Taja mkoa ambao hujawahi fika na huna mpango wa kufika na unajutia kufika mkoa gan

Kama huna hela (£,€,$,¥) huwezi kuipenda Arusha na hata ukienda Chuga kama huna Masimbi utauona huo Mkoa umekuonea sana.... Hakuna Mkoa Tanzania nao jutia kuutembelea, kwanza kila wilaya ina ladha yake.... Kama huna Ngawira kila utakapo enda lazma utapachukie tu na kujenga chuki napo.....

Nikipata safari ya kwenda kutembea, naanzia mjini namalizia na vijijini kama huo mkoa una vivutio vya kitalii namalizia na hapo narudi zangu kichwa kikiwa kimejaa vitu vipya...
 
Back
Top Bottom