Taja mkoa ambao hujawahi fika na huna mpango wa kufika na unajutia kufika mkoa gan

Taja mkoa ambao hujawahi fika na huna mpango wa kufika na unajutia kufika mkoa gan

Yaani ujute kufika mkoani? Unajutia Nini Sasa? Anyway, mkoa ambao sijafika kabisa ni RUKWA kwa Sasa pia na Katavi ila nitafika panapo uzima. The rest ongelea wilaya na sio mikoani tuu.
Mkuu kuna mikoa imechoka kishenzi
 
Kama huna hela (£,€,$,¥) huwezi kuipenda Arusha na hata ukienda Chuga kama huna Masimbi utauona huo Mkoa umekuonea sana.... Hakuna Mkoa Tanzania nao jutia kuutembelea, kwanza kila wilaya ina ladha yake.... Kama huna Ngawira kila utakapo enda lazma utapachukie tu na kujenga chuki napo.....

Nikipata safari ya kwenda kutembea, naanzia mjini namalizia na vijijini kama huo mkoa una vivutio vya kitalii namalizia na hapo narudi zangu kichwa kikiwa kimejaa vitu vipya...
Arusha wakazi wengi ni masikin sana
 
Back
Top Bottom