kirikuu.com
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 461
- 526
Kigoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point Makini kabisa Mkuu...Ngoja namimi nitafute Pesa!!! Nifike mpk DongobeshiKama huna hela (£,€,$,¥) huwezi kuipenda Arusha na hata ukienda Chuga kama huna Masimbi utauona huo Mkoa umekuonea sana.... Hakuna Mkoa Tanzania nao jutia kuutembelea, kwanza kila wilaya ina ladha yake.... Kama huna Ngawira kila utakapo enda lazma utapachukie tu na kujenga chuki napo.....
Nikipata safari ya kwenda kutembea, naanzia mjini namalizia na vijijini kama huo mkoa una vivutio vya kitalii namalizia na hapo narudi zangu kichwa kikiwa kimejaa vitu vipya...
Naomba nitaje ninaotamani kufika - Mwanza
SawaNovember twende
Karibu Mara mchumbaNaomba nitaje ninaotamani kufika - Mwanza
Ndio kwenu au upo kikaziKaribu Mara mchumba
Ndio nyumbani, kikazi nipo kusini huku songea.Ndio kwenu au upo kikazi
Upo songea mjini? Kumbe we muraNdio nyumbani, kikazi nipo kusini huku songea.
Nipo hapa napambana na maisha, Yes najivunia kuwa Mura na mzaliwa wa Mara.Upo songea mjini? Kumbe we mura
Aiseee... Kwa hiyo unakaa wapi? Matalawe, Mateka, msamara, bombambili, Ruhuwiko au Peramiho?Nipo hapa napambana na maisha, Yes najivunia kuwa Mura na mzaliwa wa Mara.
Sawa
Peramiho, upo huku mchumba.Aiseee... Kwa hiyo unakaa wapi? Matalawe, Mateka, msamara, bombambili, Ruhuwiko au Peramiho?
Ndo kwenu nini?Aiseee... Kwa hiyo unakaa wapi? Matalawe, Mateka, msamara, bombambili, Ruhuwiko au Peramiho?
Aisee Peramiho huko nilishawahi kukaa miaka ya nyumaPeramiho, upo huku mchumba.