Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
HapanaNdo kwenu nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HapanaNdo kwenu nini?
Karibu tena kwa mara nyingine ukipata likizo ruksa kurudi kuwajulia ndugu na marafiki haliAisee Peramiho huko nilishawahi kukaa miaka ya nyuma
Sawa AhsanteKaribu tena kwa mara nyingine ukipata likizo ruksa kurudi kuwajulia ndugu na marafiki hali
Hapana
Haha kiasi. Wewe Njombe unajua sehemu ganiUnapajua saana naona, Kama ninavyoujua mkoa wa Njombe wakati mi wa Magharibi mwa Tz
Ukibahatika kufika Mara hasa Musoma niambie nikuandalie kichuri na nyama choma kabisa.Sawa Ahsante
Ahsante mchumbaUkibahatika kufika Mara hasa Musoma niambie nikuandalie kichuri na nyama choma kabisa.
Haha kiasi. Wewe Njombe unajua sehemu gani
Sasa kama hujafika makete na ludewa unawezaje kusema umetembea Njombe yoteNjombe karibu kata zote za wilaya zake nimefika, isipokuwa wilaya ya Makete na wilaya ya Ludewa
White musoma umefika,??? Nimefurahi kusikia hivi.Sijafika Lindi na Mtwara. Kigoma najuta kupafahamu. Mbeya nimeenda once ila napatamani niende tena nikakuenjoy vizuri.
Mara (Tarime&Musoma) kila ninavyoenda nazidi kupapenda
Nimefika rafiki yangu.. na nilipapenda siku ya kwanza kabisa..White musoma umefika,??? Nimefurahi kusikia hivi.
Najua maeneo yetu muhimu yote ulifika,lini unatarajia kwenda tena huko.Nimefika rafiki yangu.. na nilipapenda siku ya kwanza kabisa..
Umeni qoute vibayaaSasa kama hujafika makete na ludewa unawezaje kusema umetembea Njombe yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ratiba ya kusafiri ipo tayari. Nadhani August au October naweza kwenda.Najua maeneo yetu muhimu yote ulifika,lini unatarajia kwenda tena huko.
Soon, Natarajia kwenda itabidi tuongozane wote.
Mwenza mikoa yote Tanzania umefika kasoro Lindi na Mtwara?Sijafika Lindi na Mtwara. Kigoma najuta kupafahamu. Mbeya nimeenda once ila napatamani niende tena nikakuenjoy vizuri.
Mara (Tarime&Musoma) kila ninavyoenda nazidi kupapenda
Ndio mwenza. Sema naishia mjini tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Njombe nilipita nlikua naenda Songea
Aise, naomba ratiba ya october inikute Musoma, ule kichuri original achana na hicho cha kununua [emoji28]Ratiba ya kusafiri ipo tayari. Nadhani August au October naweza kwenda.
Sasa hivi Nina Arusha, Dodoma, Morogoro, Mtwara na Mbeya.