Taja mkoa ambao hujawahi fika na huna mpango wa kufika na unajutia kufika mkoa gan

Taja mkoa ambao hujawahi fika na huna mpango wa kufika na unajutia kufika mkoa gan

Huko panadarid sana kushinda hata London
Kuna winter hatari yaani hapa nimejifunika
1. shuka
2. Shuka lenye Sufi ndani +
3. Blanketi lakini baridi bado inapenya

Ukioga hata kama ni maji ya moto inabidi fastaa ujikaushe maji maana vinginevyo baridi itakugonga hatari
 
Sijawahi kufika.
Lindi,mtwara,mbeya,Mara,iringa,na kigoma


Mikoa ambayo siipendi Ni tanga na tabora


Mkoa ambao najutia kufika Ni morogoro
Nyie ndo mnafikiaga kwa shemeji unalala chumba kirefu, na vyenye umeenda huna dili unamsikilizia shemeji akutafutie, siku zinaenda unaghairi unarudi kwenu

Unakuja kutuanzishia uzi humu, unajuta kufika sehemu fulani
 
Nimefika mikoa michache tu ila sidhani kama naweza kujutia kufika mkoa wowote. Zaidi natamani nifike mikoa yote ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom