Mpanda sio Mkoa ni Katavi,,,,,,,,,,,ulifika mara ya mwisho lini? Na ulipita njia ya wapi ambayo barabara ni mbaya????Nimefika mikoa yote kasoro kigoma...
Mkoa ambao sitaki kurudi ni mpanda the only reason ni mbali mno na barabara ni mbaya....
Kwa nini mkuuMi nipo Dodoma ila sitak hata kuijua dodoma, nataman nifumbe macho siku zote
Sababu ipo wazi😀Sababu?au sababu IPO wazi?
Hapo pia ni makao makuu ya nchiHuu ni mkoa mpya au sijaelewa mada?
Huko si ndio kuna fursa kwa sasa na serikali ishahamia huko. Kutakuwa kumechangamka sana
usisahau na matapeli wamejaa dar 😀😀Dar sifiki ng'o, nani anataka kuibiwa saiz... Manake nasikia huko waty ni wezi mpaka wazee
Na sie hatukuhitajiMikoa ya kanda ya ziwa yote
Baaada ya kuona mtu wao mmoja ni kichaa kichaa tu.
Ndio kafanya nione ni hatare kwangu kabisa. Sita kaa niende maisha yangu yote
Na usije tuChato!!
Dar es salaam
Sijawahi na
Sitarajii
Dar sifiki ng'o, nani anataka kuibiwa saiz... Manake nasikia huko waty ni wezi mpaka wazee