Taja mkoa ambao hujawahi kufika na Wala huna mpango kabisa wa kuitembelea

Taja mkoa ambao hujawahi kufika na Wala huna mpango kabisa wa kuitembelea

Tanzania tuna mikoa mingi na kila mkoa una tamaduni zake na historia yake ambayo inavutia.kuna watu ambao tunapenda kusafiri kutalii mikoa hiyo ili kujionea yanayosemwa kuhusu mkoa huo.lakini ipo mikoa ambayo huna habari nayo kabisa yaani huoni hata ikikushawishi aidha kikazi au biashara au hata kuifikia.mimi mkoa wa Lindi sitaki hata kujua Kama nitaenda wa pili tabora
Kigoma Jee..kama Tabora hupapendi
 
Kwa nini hampataki kigoma jamani?mweeh [emoji30][emoji30][emoji23]
 
Mimi natamani nifike kila Mkoa..nikichojifunza ni kuwa kuna maeneo huwa tunasikia ni kubaya ila ukifika unakuta ni sawaa tuu na ulikotoka au tofauti ni ndogo tuu na kuna watu wanaishi maisha bora kuliko hata nilikotoka..mfano Sumbawanga Rukwa au Mpanda Katavi,
 
Mpanda sio Mkoa ni Katavi,,,,,,,,,,,ulifika mara ya mwisho lini? Na ulipita njia ya wapi ambayo barabara ni mbaya????
Nilipita njia ya mbugani kupitia liyamba liyamfipa na pia kuzunguka mbuga kupitia Maji Moto kwa Pinda kule...
Mara ya mwisho nilienda 2012 lami ya mpanda starike/stalike ndio inaanza kujengwa.... Nihabarishe maendeleo ya sasa mkuu...
 
sipendi mikoa yote wanayokeketa dada zetu na kuwaua wazee wa macho mekundu
 
Tanzania nimepita mikoa yote, mkoa ambao sitarajii kwenda ni mkoa wa Zanzibar, sipendi kupita kwenye maji. Hela bombardier sina
ni heri upite kwenye maji na Kilimanjaro marine kuliko hizo zinazopita huko juu!
ukija kufika Zanzibar utakuja kuEdit hii comment yako.
 
Back
Top Bottom