Taja mkoa ambao hujawahi kufika na Wala huna mpango kabisa wa kuitembelea

Taja mkoa ambao hujawahi kufika na Wala huna mpango kabisa wa kuitembelea

Bukoba sipendi kwenda kabisa maana wanawake wa Bk tabia zao wanazijua wenyewe.
 
Kigoma huwa sijui napaona Kama Burundi tu na watu wake wamekaa kirundi rundi na kale ka uswahili kao ka ujiji na ule uchawi!
 
"THERE IS NO SUCCESS LIKE DAR ES SALAAM SUCCESS"

RUKWA SITOKANYAGA
 
Mikoa ya kanda ya ziwa yote
Baaada ya kuona mtu wao mmoja ni kichaa kichaa tu.
Ndio kafanya nione ni hatare kwangu kabisa. Sita kaa niende maisha yangu yote
mimi sitarajii kufika mkoa unatoka wewe
maana inaonekana kwenu ni maskini sn....
 
Nimefika mikoa yote kasoro kigoma...
Mkoa ambao sitaki kurudi ni mpanda the only reason ni mbali mno na barabara ni mbaya....
mpanda pa kibwege sana japo sasa unakua kwa kasi, kufika mpaka ujiulize mara 2 barabara toka kigoma, tabora ni mbovu mno (mmoja ya mkoa ambao haujaunganishwa kwa lami

kuanzisha safari unajiuliza mara 2,2 treni nayo yq kubahatisha
 
Tanzania tuna mikoa mingi na kila mkoa una tamaduni zake na historia yake ambayo inavutia.kuna watu ambao tunapenda kusafiri kutalii mikoa hiyo ili kujionea yanayosemwa kuhusu mkoa huo.lakini ipo mikoa ambayo huna habari nayo kabisa yaani huoni hata ikikushawishi aidha kikazi au biashara au hata kuifikia.mimi mkoa wa Lindi sitaki hata kujua Kama nitaenda wa pili tabora
SUMBAWANGA.
 
Back
Top Bottom