Iringa
😁😁 DarDar,ruvuma(sumbawanga)
Sio kwa ukame huu wa dom [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi nipo Dodoma ila sitak hata kuijua dodoma, nataman nifumbe macho siku zote
Kagera, and not bukobabukoba siatarajii kufika
Kigoma nilifika mwaka juzi ni mkoa poa sana japo kuna mapungufu kidogo lakini una hali ya hewa safi nenda tu mkuuNikisikia mtu anakaa Kigoma huwa namuona kama Behewa.
Kigoma sitamani hata kupajua.
Hajui TU mkuu iringa japo sijafika ila nasikia pako POA SanaAisee
Zipi tena maana nina mpango wa kwendaBukoba sipendi kwenda kabisa maana wanawake wa Bk tabia zao wanazijua wenyewe.
mimi sitarajii kufika mkoa unatoka weweMikoa ya kanda ya ziwa yote
Baaada ya kuona mtu wao mmoja ni kichaa kichaa tu.
Ndio kafanya nione ni hatare kwangu kabisa. Sita kaa niende maisha yangu yote
😁😁 Dar
mpanda pa kibwege sana japo sasa unakua kwa kasi, kufika mpaka ujiulize mara 2 barabara toka kigoma, tabora ni mbovu mno (mmoja ya mkoa ambao haujaunganishwa kwa lamiNimefika mikoa yote kasoro kigoma...
Mkoa ambao sitaki kurudi ni mpanda the only reason ni mbali mno na barabara ni mbaya....
Asante.... Ila si umeelewa?Rukwa,Kigoma na Kagera.
SUMBAWANGA.Tanzania tuna mikoa mingi na kila mkoa una tamaduni zake na historia yake ambayo inavutia.kuna watu ambao tunapenda kusafiri kutalii mikoa hiyo ili kujionea yanayosemwa kuhusu mkoa huo.lakini ipo mikoa ambayo huna habari nayo kabisa yaani huoni hata ikikushawishi aidha kikazi au biashara au hata kuifikia.mimi mkoa wa Lindi sitaki hata kujua Kama nitaenda wa pili tabora