Acha fiks Kaseja unaishi naye mtaa mmoja wapi?Naishi na kaseja mtaa mmoja haeleweki km kachoka au yuko simple
Huyo ni msanii wa nini?Naishi na kaseja mtaa mmoja haeleweki km kachoka au yuko simple
Tupia picha ya nsyuka tumuoneHuku ukonga kuna hawa wasanii walikuwa wanaitwa Mapacha Wawili walitamba na kibao chao cha "Ni Rafiki tu" ni watu watu waliopoteza uelekeo na tunasema bolts zimechomoka yani no network at all.
Pia kuna Huyu tunamuita Saidi aka Nsyuka yule muigizaji wa zamani.Huyu tumaini lake wa maisha karikadhi kwenye vibanda vya kubeti mwa Mzungu huku moshi bar.
Ongezea msanii unaomfahamu mtaani kwenu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Huyo ni msanii wa nini?
PNC kachoka sana siku hizi kaacha kuimba anauza mihogo.Huku ukonga kuna hawa wasanii walikuwa wanaitwa Mapacha Wawili walitamba na kibao chao cha "Ni Rafiki tu" ni watu watu waliopoteza uelekeo na tunasema bolts zimechomoka yani no network at all.
Pia kuna Huyu tunamuita Saidi aka Nsyuka yule muigizaji wa zamani.Huyu tumaini lake wa maisha karikadhi kwenye vibanda vya kubeti mwa Mzungu huku moshi bar.
Ongezea msanii unaomfahamu mtaani kwenu.
PNC kachoka sana siku hizi kaacha kuimba anauza mihogo.
Mataluma kashaisha kabisa kisanii siku hizi anauza mkaa.
Ommy Dimpozi kashaisha kisanii siku hizi ameolewa ndoa ya siri huko Dubai.