Taja msanii unayekaa naye mtaa mmoja ila sasa kawa choka mbaya

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Huku ukonga kuna hawa wasanii walikuwa wanaitwa Mapacha Wawili walitamba na kibao chao cha "Ni Rafiki tu" ni watu watu waliopoteza uelekeo na tunasema bolts zimechomoka yani no network at all.

Pia kuna Huyu tunamuita Saidi aka Nsyuka yule muigizaji wa zamani.Huyu tumaini lake wa maisha karikadhi kwenye vibanda vya kubeti mwa Mzungu huku moshi bar.

Ongezea msanii unaomfahamu mtaani kwenu.
 
Tupia picha ya nsyuka tumuone
 
PNC kachoka sana siku hizi kaacha kuimba anauza mihogo.

Mataluma kashaisha kabisa kisanii siku hizi anauza mkaa.

Ommy Dimpozi kashaisha kisanii siku hizi ameolewa ndoa ya siri huko Dubai.
 
Halafu
 
PNC sikuhizi sijui anashinda wapi maana gongo la mboto saloon simuoni kabisa na hata namba yake haipatikani

Sikuhizi simuon go
 
Back
Top Bottom