Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
Duuh!PNC kachoka sana siku hizi kaacha kuimba anauza mihogo.
Mataluma kashaisha kabisa kisanii siku hizi anauza mkaa.
Ommy Dimpozi kashaisha kisanii siku hizi ameolewa ndoa ya siri huko Dubai.
Wa sanaa ya kudakaHuyo ni msanii wa nini?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Wa sanaa ya kudaka
Hater wa madale unajichoreshaPNC kachoka sana siku hizi kaacha kuimba anauza mihogo.
Mataluma kashaisha kabisa kisanii siku hizi anauza mkaa.
Ommy Dimpozi kashaisha kisanii siku hizi ameolewa ndoa ya siri huko Dubai.
Hahaha thread za siku hizi duuhHuku ukonga kuna hawa wasanii walikuwa wanaitwa Mapacha Wawili walitamba na kibao chao cha "Ni Rafiki tu" ni watu watu waliopoteza uelekeo na tunasema bolts zimechomoka yani no network at all.
Pia kuna Huyu tunamuita Saidi aka Nsyuka yule muigizaji wa zamani.Huyu tumaini lake wa maisha karikadhi kwenye vibanda vya kubeti mwa Mzungu huku moshi bar.
Ongezea msanii unaomfahamu mtaani kwenu.