Taja msanii unayekaa naye mtaa mmoja ila sasa kawa choka mbaya

Taja msanii unayekaa naye mtaa mmoja ila sasa kawa choka mbaya

Huku ukonga kuna hawa wasanii walikuwa wanaitwa Mapacha Wawili walitamba na kibao chao cha "Ni Rafiki tu" ni watu watu waliopoteza uelekeo na tunasema bolts zimechomoka yani no network at all.

Pia kuna Huyu tunamuita Saidi aka Nsyuka yule muigizaji wa zamani.Huyu tumaini lake wa maisha karikadhi kwenye vibanda vya kubeti mwa Mzungu huku moshi bar.

Ongezea msanii unaomfahamu mtaani kwenu.
Hahaha thread za siku hizi duuh
 
Mm ninaishi na jay z pamoja beyonce wamechoka mbaya mbovu mpak wanaomba unga kwa jirani
 
Nipo mountain road,Los olivos california " never never ranch" imechoka kama michael jackson mwenyewe huko alipo
 
Back
Top Bottom