Taja msanii unayekaa naye mtaa mmoja ila sasa kawa choka mbaya

Niko mtaa mmoja na Dewji.... sasa sijui ni msanii pia
 
Ndiyo deal lililo engeneza gap kati yako na yeye...mjini matokeo haramu mwisho ndani nyumba za ibada
Wabongo wakishindwa maisha yao utawaona tu.

Kwa tunaoijuwa hii nchi vizuri Steve yuko kwenye channel ya ukweli unakula na vipofu.

Tupige baragumu wasanii wote wajitokeze hapa na magari yao ndio utajuwa huyo mjinga hajui anachokiandika au hao watu anawasoma tu magazetini na kuwaona kwenye media tu.
 
PNC kachoka sana siku hizi kaacha kuimba anauza mihogo.

Mataluma kashaisha kabisa kisanii siku hizi anauza mkaa.

Ommy Dimpozi kashaisha kisanii siku hizi ameolewa ndoa ya siri huko Dubai.

Vijana wa bongo fleva si wanamuziki wa kweli na ndiyo maana wanaitwa wasanii. Utaishije kila siku wewe kazi kutengenezewa beats tu na kuiga miziki ya watu? Vitu feki havidumu kamwe.
 
Ivi GK wa EAST COST yukwapi alitoa ka nyimbo AF kakausha au nae kapima kimo kaona kirefu
 
Idriss sultan
 
T.I.D, RUBY, MAN walter, producer Don....Cpwaa..KR nakutana nae sna...ni kwl choka mbya...
 
Amechoka huku anatembelea Prado!! Wabongo mna matatizo makubwa.

Mwenzako anaonana na makamo wa Rais kama wewe unavyokwenda kula ugali wa kengele kwa mama yako.
Mpaka amechoka kuwasaidia vijana wa Kinondoni Moscow maana hawafadhiliki.

Steve mjanja mjanja sana. Sijui kama atahama mjinim
 
Kweli bongo movie inalipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…