Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiitwi never never... ni neverlandNipo mountain road,Los olivos california " never never ranch" imechoka kama michael jackson mwenyewe huko alipo
Kama ukuwadi unamtowa tatizo liko wapi?steve nyerere anawatafutia mademu ni kuadi
Wabongo wakishindwa maisha yao utawaona tu.Ndiyo deal lililo engeneza gap kati yako na yeye...mjini matokeo haramu mwisho ndani nyumba za ibada
Wabongo wakishindwa maisha yao utawaona tu.Ndiyo deal lililo engeneza gap kati yako na yeye...mjini matokeo haramu mwisho ndani nyumba za ibada
Mkuu juma hajachoka kwa maisha ye2 ya bongo ana nyumba za kupangisha bwaloni kwa msugur kama sikosei 07 hvNaishi na kaseja mtaa mmoja haeleweki km kachoka au yuko simple
Huyo ni msanii wa nini?
PNC kachoka sana siku hizi kaacha kuimba anauza mihogo.
Mataluma kashaisha kabisa kisanii siku hizi anauza mkaa.
Ommy Dimpozi kashaisha kisanii siku hizi ameolewa ndoa ya siri huko Dubai.
Hahaha zimechoka hizo pande zaidi ya wasanii[emoji23] [emoji23]
Unanywewa au kunuswaUgoro hauvutwi mkuu.
Oooh ok mkuuHaaa! Mie namuongelea mama watoto wa H baba Flora Mvungi[emoji12]
Mkuu umedanganya umma jamaa ana financial position nzuriNakaa mtaa mmoja na Juma Nature ebana jamaa maisha yake hayaendani na jina alilokuwa nalo miaka hiyo
Idriss sultanHuku ukonga kuna hawa wasanii walikuwa wanaitwa Mapacha Wawili walitamba na kibao chao cha "Ni Rafiki tu" ni watu watu waliopoteza uelekeo na tunasema bolts zimechomoka yani no network at all.
Pia kuna Huyu tunamuita Saidi aka Nsyuka yule muigizaji wa zamani.Huyu tumaini lake wa maisha karikadhi kwenye vibanda vya kubeti mwa Mzungu huku moshi bar.
Ongezea msanii unaomfahamu mtaani kwenu.
Mpaka amechoka kuwasaidia vijana wa Kinondoni Moscow maana hawafadhiliki.Amechoka huku anatembelea Prado!! Wabongo mna matatizo makubwa.
Mwenzako anaonana na makamo wa Rais kama wewe unavyokwenda kula ugali wa kengele kwa mama yako.
Kadandia treni kwa mbele huyo. Yeye kila Florah ni wa Mbasha.Haaa! Mie namuongelea mama watoto wa H baba Flora Mvungi[emoji12]
Hauko well informed, pole.
Steve ana connection ya moja kwa mojs ikulu, endeleeni kuita watu wamechoka mwenzio anazunguka Tanzania nzima wewe hata nauli ya kwenda Tegeta inakusumbuwa na bado unamnyooshea kidole mtu anayetembelea Prado Tx.
Watu wenye akili hizi za kilofa utawapata Tanzania tu.