Taja namba yako halafu taja majina ya classmates wako Na namba Yao husika.

Taja namba yako halafu taja majina ya classmates wako Na namba Yao husika.

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
No. 14: Kipanga WA darasa

No. 15: Kilaza WA darasa.

No. 16: Mchafu WA darasa

No.17: Jamaa anae piga darasa Zima.

Na. 18: Ronaldo wa Darasa.
No. 19: Msanii wa darasa
No. 20: mvuta bangi WA darasa.

21: Tolu wa Darasa.

22: Big wa darasa.

23. Mtu mfupi WA darasa.

24. Black WA darasa.

25. Mtu MWENYE umri mkubwa kuliko wote darasani.

26. Dogo wa Darasa.

27. Mjanja wa Darasa.

FB_IMG_16323355086057408.jpg
 
4 me,white na gang s way back
White ni mwanasiasa now
Gang s akili zilimruka
 
Back
Top Bottom