Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙄🙄Yapi? Bangi?
Mimi nilikuwa mtu wa kisasiNo. 14: Kipanga WA darasa
No. 15: Kilaza WA darasa.
No. 16: Mchafu WA darasa
No.17: Jamaa anae piga darasa Zima.
Na. 18: Ronaldo wa Darasa.
No. 19: Msanii wa darasa
No. 20: mvuta bangi WA darasa.
21: Tolu wa Darasa.
22: Big wa darasa.
23. Mtu mfupi WA darasa.
24. Black WA darasa.
25. Mtu MWENYE umri mkubwa kuliko wote darasani.
26. Dogo wa Darasa.
27. Mjanja wa Darasa.
View attachment 1948813
Wakati niko shule ya msingi nilikuwa namba tano. Ila nilikuwa naiba vitabu tu, nothing else 😃😃😃😃No. 14: Kipanga WA darasa
No. 15: Kilaza WA darasa.
No. 16: Mchafu WA darasa
No.17: Jamaa anae piga darasa Zima.
Na. 18: Ronaldo wa Darasa.
No. 19: Msanii wa darasa
No. 20: mvuta bangi WA darasa.
21: Tolu wa Darasa.
22: Big wa darasa.
23. Mtu mfupi WA darasa.
24. Black WA darasa.
25. Mtu MWENYE umri mkubwa kuliko wote darasani.
26. Dogo wa Darasa.
27. Mjanja wa Darasa.
View attachment 1948813
@LIKUD ni fundi; 1-13 ni attachment kisha mwendelezo akafanya kuandika. Kwaio kila kitu kipo sawa, japo kuleta logical sequence angeanza na attachment.Mkiweka namba 14 mniambie.