ASA atawaambiaje ivo waathilika ata ungekuwa ww nymba yako imebomoka na tetemeko c ungetaman kumtafunaKwa
Kwani lipi neno baya mkuu
Mwaka gani mkuu?.....maana miaka hii ni nadra kutolewa njeNilimtongoza msichana kwenye watu wengi ila nilikuwa naongea taratibu kiasi watu waliokuwa pembeni walikuwa hawasikii akanijibu kwa sauti
"Kubwa zima linanitongoza embu niondokee hapa nisikutapike bure"
Kwa sauti kubwa hadi leo dah! Naona aibu
Had 2020 atakuwa ametunyoosha vya kutoshaDaaaah watu na roho zako
Ulibakwa, pole sanaHahahaaaa mm nilikataa kabsa kudendeka kwa mara ya kwanza ikabid girl aniforce
Muheshimu sana kiumbe huyoHahahaaaaa daah ilibidi nikubali kishingo upande
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Serikali haina shamba.
Swissme
Hahahahaha hahahahaha hahahahahaWote tutakua tushaelekea kibla
basi poleeeNitalia tena mkuu....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bado nalia tangu muda ule hadi uniombe msamaha [emoji23] [emoji23]basi poleee
Anamaanisha mwaka huu "sirikali" imepata mavuno mazuri sana kupitia "tentemente" la Bk[emoji13] [emoji13] [emoji13] na ikitokea janga hilo angalau wilaya 20 hivi mavuno yangetosha kuandaa kampeni 2020[emoji40] [emoji40] [emoji40]Ahaaa nimekupata mkuu