Taja neno ulilowahi kuambiwa likakuumiza

Taja neno ulilowahi kuambiwa likakuumiza

Nilimtongoza msichana kwenye watu wengi ila nilikuwa naongea taratibu kiasi watu waliokuwa pembeni walikuwa hawasikii akanijibu kwa sauti

"Kubwa zima linanitongoza embu niondokee hapa nisikutapike bure"

Kwa sauti kubwa hadi leo dah! Naona aibu
Mwaka gani mkuu?.....maana miaka hii ni nadra kutolewa nje
 
''ulijitahidi sana kunipata... umewapiku mashoga zako''
 
hahhaha leo hii mtoto wangu wa kike yuko chekechea amerudi analia kisa kuna rafiki yake amemgaya, sijui ndio nini nimecheka sana kwa kumsahangaa
 
Niliambiwa "umepata Division 1 ya point 8" O Level....nliumia sanaaa
 
kuna demu nilimtongoza akanikubalia akaniomba hela nikamwambia sina akanijibu sitongozwi kihivyo katika wanaume wote tukipanga mstari mimi nitakuwa wa mwisho kuchaguliwa
 
Ahaaa nimekupata mkuu
Anamaanisha mwaka huu "sirikali" imepata mavuno mazuri sana kupitia "tentemente" la Bk[emoji13] [emoji13] [emoji13] na ikitokea janga hilo angalau wilaya 20 hivi mavuno yangetosha kuandaa kampeni 2020[emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Back
Top Bottom