Taja neno ulilowahi kuambiwa likakuumiza

Taja neno ulilowahi kuambiwa likakuumiza

Hahahahah umenikumbusha mbali.

Niliambiwa "mpuuzi wee!!" nililia kuanzia asubuhi hadi jioni. Nilinyamaza pale nilipoombwa msamaha
 
Nilimtongoza msichana kwenye watu wengi ila nilikuwa naongea taratibu kiasi watu waliokuwa pembeni walikuwa hawasikii akanijibu kwa sauti

"Kubwa zima linanitongoza embu niondokee hapa nisikutapike bure"

Kwa sauti kubwa hadi leo dah! Naona aibu
 
Hahahahah umenikumbusha mbali.

Niliambiwa "mpuuzi wee!!" nililia kuanzia asubuhi hadi jioni. Nilinyamaza pale nilipoombwa msamaha
Daaaaaa!! Kweli we mpuuzi!![emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji23] ....just kidding
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Kwan Tetemeko lililetwa na serikal ??????

Nilipokuwa nikiomba kula nilisema nitaleta tetemeko???????
Nilisema nitaliletaaaaaaa!!!?????

Braza magu told those waathilika

Nikichekigi hii clip ya mheshimiwa huwa inaniuma lakin huwa cnaga mbavu kwa kwel dah hatar mno
 
Niliambiwa Mie ni Mfuasi wa Lowassa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]!
 
Back
Top Bottom