Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Ni ukweli usiopingika kwamba tatizo la mfumko wa bei limekua ni sugu kiasi kwamba linakoelekea litawashinda viongozi.
Pengine kuna njia ambazo zimefichika ambazo wakizigusa zinaweza kusaidia kupunguza mfumko.
Najua humu ndani kuna wachumi,
wanasiasa na wazoefu wanaweza kutaja njia zinazoweza kupunguza mfumko wa bei katika taifa letu.
Twende hivi sasa.
Taja njia za kupunguza mfumko wa bei mpaka ufike zero.