Chuda Kashara
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 849
- 555
Asante sana Mkuu, ubarikiwe sana.Mimi Sina rafiki hata mmoja humu, na simjui wala sijawahi kukutana na mtu mahali popote.
Lakini kwa vile mimi ni mdau wa kitambo humu,na toka nijiunge nimefaidika kwa namna moja au nyingine, ingawa walionipa faida ya mambo mbali mbali siwajui wala wao hawanijui ni ule tu U-Tanzania tulio nao.
Nawatakia wote (pamoja na mleta mada) kila la heri kwenye maisha.
Ujumbe wangu kwenu kuhusu maisha;
"Pambana,usikate tamaa kwenye maisha".
Asante sana Mkuu, ubarikiwe sana.
Mimi namtakia siku njema rafiki yangu mpendwa jje's![emoji1]Mimi nina list ndefu mno ya marafiki wa kawaida(sio best),
Bora nikiuke masharti tu
asanteMimi namtakia siku njema rafiki yangu mpendwa jje's![emoji1]
Ahsante sanaMimi Sina rafiki hata mmoja humu, na simjui wala sijawahi kukutana na mtu mahali popote.
Lakini kwa vile mimi ni mdau wa kitambo humu,na toka nijiunge nimefaidika kwa namna moja au nyingine, ingawa walionipa faida ya mambo mbali mbali siwajui wala wao hawanijui ni ule tu U-Tanzania tulio nao.
Nawatakia wote (pamoja na mleta mada) kila la heri kwenye maisha.
Ujumbe wangu kwenu kuhusu maisha;
"Pambana,usikate tamaa kwenye maisha".
Ndugu badili hiyo avatar yako.....mbaya sana aiseee. Ulifikiria nini kuchagua picha ya namna hiyo? Au inaeleza kitu kukuhusu?Mimi Sina rafiki hata mmoja humu, na simjui wala sijawahi kukutana na mtu mahali popote.
Lakini kwa vile mimi ni mdau wa kitambo humu,na toka nijiunge nimefaidika kwa namna moja au nyingine, ingawa walionipa faida ya mambo mbali mbali siwajui wala wao hawanijui ni ule tu U-Tanzania tulio nao.
Nawatakia wote (pamoja na mleta mada) kila la heri kwenye maisha.
Ujumbe wangu kwenu kuhusu maisha;
"Pambana,usikate tamaa kwenye maisha".
Skuizi Behaviourist Angalau amepunguza fujo...haaaaa imekuwaje tena hapo?
mhhhh kuna usalama kweli hapo? Behaviourist stukaSkuizi Behaviourist Angalau amepunguza fujo...
Mpaka amenifanya nitamani kumualika Chakula Cha mchana...