Taja rafiki zako watatu wa JF na uwatakie mema

Chuda Kashara

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
849
Reaction score
555
Wana wa jukwaa hili salamu!

Leo kila mmoja wetu apate fursa ya kuwataja rafiki zake watatu(Triple best friends) wa hapa JF na uwatakie mema kwenye maisha yao . Marafiki hao wanaweza kuwa wa jinsia moja au jinsia tofauti....Usitaje mke/mume wala mchumba wako, bali marafiki wa kawaida tu....pia usijisikie vibaya kama rafiki yako hatokujumuisha kwenye idadi ya marafiki zake.

Remember no one human is a failure who has friends
 
Mimi Sina rafiki hata mmoja humu, na simjui wala sijawahi kukutana na mtu mahali popote.
Lakini kwa vile mimi ni mdau wa kitambo humu,na toka nijiunge nimefaidika kwa namna moja au nyingine, ingawa walionipa faida ya mambo mbali mbali siwajui wala wao hawanijui ni ule tu U-Tanzania tulio nao.
Nawatakia wote (pamoja na mleta mada) kila la heri kwenye maisha.
Ujumbe wangu kwenu kuhusu maisha;
"Pambana,usikate tamaa kwenye maisha".
 
Asante sana Mkuu, ubarikiwe sana.
 
Mimi nina list ndefu mno ya marafiki wa kawaida(sio best),
Bora nikiuke masharti tu
 
Post ya kibaguzi hii....Mimi kama cjataja na MTU apa .....
 
Mimi Sina rafiki hata mmoja humu, na simjui wala sijawahi kukutana na mtu mahali popote.
Lakini kwa vile mimi ni mdau wa kitambo humu,na toka nijiunge nimefaidika kwa namna moja au nyingine, ingawa walionipa faida ya mambo mbali mbali siwajui wala wao hawanijui ni ule tu U-Tanzania tulio nao.
Nawatakia wote (pamoja na mleta mada) kila la heri kwenye maisha.
Ujumbe wangu kwenu kuhusu maisha;
"Pambana,usikate tamaa kwenye maisha".
Ahsante sana
 
Ndugu badili hiyo avatar yako.....mbaya sana aiseee. Ulifikiria nini kuchagua picha ya namna hiyo? Au inaeleza kitu kukuhusu?
 
Dada zangu vipenzi geniveros na atoto bila kumsahau mzee mwenzangu KikulachoChako
Ujumbe jamiiforum.com idumu.
 
Mie sina rafiki. Napenda sana kumfuatilia Mshana jr, Nyani Ngabu, Pasco na Kibo10.
Siwapendi elli, mzitokabwela na Ombara. Tusameheane.
 
Back
Top Bottom