Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Maisha yetu yanatengenezwa na mlolongo wa matukio
Utotoni tunapitia mengi saana...hebu taja sehemu ya utotoni kwa sababu zozote zile huwezi kuisahau kamwe...yani utasahau vyote lakini sio hiyo sehemu iwe kwa uchungu ,iwe kwa furaha, iwe kwa mshangao
Mimi kamwe sisahau msitu ule nilikopelekwa na wazee wa mila na vijana wakubwa kutiwa jando bila ganzi wala bandaje...huwa siisahau ile sehemu wala huwa simsahau yule mzee na kisu chake kidogo kikali sana alichotoa kwenye mfuko wa ngozi wala siwasahau wale vijana walionishikilia mikono na miguu
Je wewe husahau eneo lipi? Unaweza pia kuelezea sababu